-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MMILIKI wa Kampuni ya GSM, Ghalib Said Mohammed ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya timu ya taifa, 'Taifa Stars'.
Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) leo, imesema kwamba Rais Wallace Karia ameunda Kamati hiyo ambayo Makamu Mwenyekiti wake ni Salim Abdallah 'Try Again' na Katibu wake ni Mhandisi Hersi Said, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa GSM.


Click to comment
 
Blog Meets Brand