-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM

SHIRIKISHO la Soka Tanzana (TFF) limesema limepokea malalamko ya klabu ya Yanga juu ya mapungufu ya mkataba wa winga Mghana, Bernard Morrison na Simba SC na utayafanyia kazi kwa mujibu wa taratibu.

Yanga SC jana iliwasilisha malalamiko TFF, ikitaka mahasimu wao, Simba wapokwe pointi zote kwenye mechi ambazo Morrison amecheza, kwa sababu mkataba baina yao una mapungufu na haujapitishwa katika mfumo wa usajili (TMS) wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FFA).

Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Frederick Mwalalebela alidai mkataba huo una sahihi moja tu na kwa ujumla mkataba ambao upo kwenye Mfumo wa Usajili wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kati ya Simba na Morrison umesainiwa na upande mmoja tu, wa mchezaji.
Pamoja na upande wa Simba kutosaini wala kugonga muhuri, pia hakuna tarehe ya kusaini mkataba huo kati ya pande zote mbili husika na hakuna saini za Kamishina wa Viapo na wala mashahidi.Click to comment
 
Blog Meets Brand