Tanzania Kuandaa Mashindano Kufuzu Afcon Wanawake-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Tanzania Kuandaa Mashindano Kufuzu Afcon Wanawake-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limeipendekeza Tanzania kuandaa michuano ya kusaka tiketi ya kufuzu kushiriki Mashindano ya Afrika (Afcon) kwa wanawake yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Novemba 22 hadi Desemba 6, mwaka huu jijini Dar.

 

Taarifa hiyo ilitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Cacafa, Auka Gecheo, juzi Alhamisi, wakati wa kikao cha Kamati ya Utendaji ya Cecafa kilichofanyika Arusha Jumamosi Oktoba 10 2020, kikao ambacho kiliamua kuendelea na mashindano ya U17 na U20, 2020.

 

Hadi taarifa hiyo inatoka ni mataifa 10, ndiyo ambayo yalithibitisha kushiriki ambayo ni Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda, South Sudan.

 

Mengine ni Sudan, Eritrea, Djibouti, Ethiopia na Kenya.

Akizungumza na Championi Jumamosi, Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Oscar Mirambo alisema: “Ni kweli taarifa hizo zipo na za muda mrefu, awali walitakiwa waandae Sudan lakini mpaka kufikia dakika ya mwisho ikawa imeshindikana, hivyo nafasi hiyo walipewa Tanzania kuandaa mashindano hayo.

 

“Mashindano haya yote ya kufuzu yatashirikisha timu 10 ambazo zitakuwa katika makundi mawili. Baada ya hatua ya makundi, timu mbili za juu zitafuzu kucheza hatua ya nusu fainali.

Issa Liponda na Abdulghafal Ally

The post Tanzania Kuandaa Mashindano Kufuzu Afcon Wanawake appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz