-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Kiungo Mghana wa Simba SC, Bernard Morrison akishusha mzigo wake kwenye ndege baada ya mabingwa hao wa Ligi Kuu kwa miaka mitatu mfululizo, Simba SC kuwasili Mbeya kuweka kambi fupi kabla ya kusogea Sumbawanga mkoani Rumwa kwa ajili ya mchezo wao ujao wa ligi hiyo dhidi ya Tanzania Prisons Alhamisi Uwanja wa Nelson Mandela. 

Beki mkongwe, Erasto Nyoni amkiteremka kwenye ndege baada ya Simba kuwasili Mbeya leo 
Kiungo Mzambia, Rally Bwalya akiwa kwenye ndege baada ya timu kuwasili Mbeya leoClick to comment
 
Blog Meets Brand