SIMBA KUCHEZA MECHI MBILI ZA KIRAFIKI - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA KUCHEZA MECHI MBILI ZA KIRAFIKI


 UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo kikosi kimeanza maandalizi kwa ajili ya mechi zake za Ligi Kuu Bara pamoja na mechi za kirafiki.


Oktoba 18 ilikuwa ni dabi kati ya Yanga na Simba imepelekwa mbele mpaka Novemba 7 na Bodi ya Ligi Tanzania, (TPLB) leo Oktoba 7.


Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa kwa sasa timu imesharejea kambini na wachezaji wale ambao hawajaitwa kwenye timu zao za taifa wanajiandaa kwa ajili ya mechi za ligi na kirafiki.

Miongoni mwa wachezaji ambao hawajaitwa timu ya zao za taifa ni Bernard Morrisons, Ibrahim Ajibu, Miraji Athuman, Pascal Wawa.

"Timu inajiandaa na mechi nyingine za ligi hasa baada ya mchezo wetu wa dabi dhidi ya Yanga kupelekwa mbele sisi hatuna cha kusema katika hilo kazi yetu ni kucheza.  

"Kwa namna ambavyo tumejipanga tutacheza mechi mbili za kirafiki ambapo moja itakuwa ni Oktoba 10 tutacheza mechi ya kirafiki na Pan Africa halafu baadaye tutacheza mechi nyingine na Mlandege.

"Tunaendelea kujipanga kwa ajili ya mechi nyingine na timu ipo tayari kwa ajili ya kupambana masuala ya ratiba wenye mamlaka wanajua namna ya kupanga," amesema.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz