-->

Type something and hit enter

On
 KESHO Oktoba 17 kikosi cha Simba kitashuka uwanjani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC ikiwa ni kwa ajili ya kujiweka sawa na maadalizi ya Ligi Kuu Bara.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 11:00 Uwanja wa Azam Complex.


Kiingilio kwenye mechi hiyo ya kirafiki kwa mzunguko ni 5,000 (buku tano ) huku VIP ikiwa ni 7,000.


 Mchezo wake wa ligi Simba itacheza na Kagera Sugar Oktoba 4, Uwanja wa Mkapa.

Click to comment
 
Blog Meets Brand