Shilole: Nina Ujauzito - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Shilole: Nina Ujauzito


 USIKU wa jana katika hafla ya mama-kijacho, Aunty Ezekiel, muigizaji wa filamu na mjasirimali Shilole amefunguka kuwa na yeye ni mama-kijacho mtarajiwa. Alisema maneno hayo alipokuwa akiongea na wageni waalikwa katika shughuli hiyo.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Hivi karibuni muigizaji huyo amekuwa akidaiwa kuwa na mahusiano na mpiga picha aitwaye Rommy. Hata hivyo, wawili hao hawajawahi kukiri kuwa ni kweli au la.

 

Awali Shilole alikuwa mke wa kijana Uchebe ambaye kwa sasa ni kama mtu na adui yake kwa kile kinachodaiwa Shilole alikuwa akipokea kipigo cha mara kwa mara kutoka kwa mumewe. Hata hivyo, baadhi ya wadau wamesema huenda mimba ikawa ni ya Uchebe.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz