-->

Type something and hit enter

OnMsimamizi wa uchaguzi Jimbo la kisarawe Ndugu Mussa Gama ametangaza matokeo ya Uchaguzi.

Wapiga kura walio andikishwa ni 82,735

Walio piga kura ni 32,646

Kura Halali ni 31,971

Kura  zilizokataliwa ni 675

Walioshiriki Wagombea

1. SELEMANI JAFO CCM Alama 2,6739

2. Asha Chuma DP Alama 175

3. BARAKA NANDONDE CHADEMA Alama 2,402


4. ZAVALA MUSSA ACT wazalendo Alama 616


5. KHADIJA DIKULUMBALE CUF Alama 2,039

Hata Hivyo Chama cha Mapinduzi CCM Kimeshinda kata 17 zote za Halmashauri ya Wilaya Kisarawe Click to comment
 
Blog Meets Brand