Sarpong: Nawasubiri Simba Waone Moto Wangu-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Sarpong: Nawasubiri Simba Waone Moto Wangu-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amefunguka kuwa hana presha yoyote licha ya kushindwa kufunga mabao kwa kuwa anajipanga kuwaonyesha wapinzani wao Simba watakapokutana Oktoba 18, mwaka huu.

 

Sarpong ametoa kauli hiyo ikiwa safu ya ushambuliaji wa Yanga kufunga bao mmoja katika mechi nne za ligi msimu huu huku mabao mengine yakifungwa na beki Lamine Moro aliyetupia mawili na kiungo Tonombe Mukoko amefunga moja.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa, Sarpong alisema kuwa kwa upande wake hawezi kuwa na presha kutokana na kushindwa kufunga mabao kwa kuwa anaamini kazi yake itaanza kuonekana katika mchezo dhidi ya watani zao, Simba.

 

“Ligi kwangu naichukulia tofauti licha ya kuwepo kwa ushindani lakini jambo kubwa ambalo nimekuwa nikiliangalia kwa sasa ni mafanikio ya timu na tumekuwa tukipambana kwa ajili hiyo.

 

“Siwezi kuwa na presha kwa sababu sifungi ila naangalia nakuwa na mchango kiasi gani kwenye timu, naamini nitakuwa sawa hata kabla ya kucheza nao na wataona kazi yangu,” alisema Sarpong.

Ibrahim Mussa,Dar es Salaam

The post Sarpong: Nawasubiri Simba Waone Moto Wangu appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz