-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Mshambuliaji wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya Fenerbahce ya Uturuki, Mbwana Samatta ametajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wametembelewa zaidi kwenye mtandao wa Transfer Marketing wakati wa dirisha la usajili wa majira ya Joto.

 

Kwa mujibu wa transfermarket, Samatta ametinga tatu (3) bora kwenye Orodha hiyo inayoongozwa na mchawi wa soka Lionel Messi nafasi ya pili ikichukuliwa na fundi wa mpira Cristiano Ronaldo huku ya tatu ikienda kwa Mtanzania, Captein Diego, Samatta.

 

Nafasi ya nne ikienda kwa Cavani na ya tano kwa Suarez. Cavani amekuwa akifuatiliwa kutokana na dili lake la kuelekea Manchester United wakati Suarez ni seke seke lake na Barcelona ambalo lilihitimishwa kwa kushuhudiwa nyota huyo akitua Atletico Madrid.

 

Samatta amejiunga na Fenerbahce ya Uturuki katika dirisha la usajili lililofungwa wiki iliyopita akitokea katika klabu ya Aston Villa ya England.

The post Samatta Levo za Messi na Ronaldo, Kina, Cavani, Suarez, Lewandowski Wanasubiri appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand