-->

Type something and hit enter

On
Rosa Ree anaamini hustle zake ndizo zimemfikisha hapa alipo leo, mapambano yake kwenye kuupambania muziki wake ndio yamebeba matokeo ya leo hii kutajwa kama female rapper pekee atakaye kiwasha jukwaa moja na @heisrema kutoka Nigeria kesho pale Elements Masaki. "Huwezi kuiongopea hustle yako, huwezi kupata kikubwa zaidi ya ulichokipambania" -: @Rosa_Ree.


 Click to comment
 
Blog Meets Brand