Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
REFA Shomary Lawi wa Kigoma amefungiwa mwaka mmoja kwa tuhuma za kushindwa kuumudu mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Tanzania Prisons na mabingwa watetezi, Simba SC.

Mchezo huo ulifanyika wiki iliyopita na Tanzania Prisons wakaibuka na ushindi wa 1-0 Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga.
