PRINCE DUBE ANAPENDA CHAPATI NA UJI NDANI YA BONGO - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PRINCE DUBE ANAPENDA CHAPATI NA UJI NDANI YA BONGO


 KINARA wa utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara,  Prince Dube amesema kuwa miongoni mwa vitu anavyopenda ndani ya ardhi ya Bongo ni ukarimu wa Watanzania pamoja na chai na chapati kwa upande wa misosi.


Raia huyo wa Zimbabwe amekuwa na ushkaji mkubwa na nyavu huku nyota yake na mshambuliaji namba moja wa Azam FC, Obrey Chirwa ikionekana kukubali.


Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Akiwa amefunga mabao matano ndani ya Ligi Kuu Bara na pasi mbili za mabao, zote amempa Chirwa Uwanja wa Azam Complex jambo linalodhihirisha pacha yao kujibu.


Dube amesema:" Nafurahi kuwa hapa Tanzania,  ujue watu wake ni wakarimu na wanapenda mpira jambo ambalo linanipa raha na furaha pia kila wakati.


"Mbali na hilo kwa upande wa chakula ninapenda kula chapati na chai ni aina ya chakula ambacho huwa ninakipendelelea mno pamoja na uji wakati wa jioni ni mzuri."


Timu ya Azam FC ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 15 imecheza mechi 5 na kusepa na pointi tatu zote kwenye mechi hizo.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz