-->

Type something and hit enter

On


 Pisi kali kunako Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Amber Lulu’ @iamamberlulu amefunguka juu ya tetesi zinazosambaa kuwa amebeba ujauzito wa aliyekuwa mume wa staa mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe.

Awali zilianza tetesi kuwa, Amber Lulu na Uchebe wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku mrembo huyo akimsifia jamaa huyo kwamba ana kifua cha chuma.

Katika mahojiano maalum na Gazeti la IJUMAA, Amber Lulu ambaye hakaukiwi vitimbi amesema hana uhakika kama aliwahi kuwa kwenye mapenzi na Uchebe, labda kama alikuwa amelewa.Click to comment
 
Blog Meets Brand