-->

Type something and hit enter

On
 JANA Oktoba 2, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije ametangaza kikosi kazi kitakachoingia kambni Oktoba 5,2020 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Kikosi hicho chenye jumla ya nyota 25 kimebeba nyota saba kutoka Simba ambao ni hawa hapa:-

 Aish Manula yeye ni kipa.

Shomari Kapombe beki.

Mohamed Hussein nahodha msaidizi ndani ya Simba anacheza nafasi ya beki.

Jonas Mkude kiungo mkabaji.

John Bocco yeye ni nahodha anacheza nafasi ya ushambuliaji.

Mzamiru Yassin yeye ni kiungo.

Said Hamis yeye ni kiungo.

Click to comment
 
Blog Meets Brand