Ole Amgomea Pogba Kwenda Real Madrid-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ole Amgomea Pogba Kwenda Real Madrid-Michezoni leo

KOCHA Ole Gunnar Solskjaer amekanusha tetesi kuwa staa wake, Paul Pogba yupo njiani kujiunga na Real Madrid, baada ya mchezaji huyo kusema kuwa ana ndoto ya kuichezea timu hiyo.

 Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Pogba ambaye alisajiliwa na Manchester United kwa pauni 89m amekuwa akihusishwa kujiunga na Madrid ambayo inanolewa Mfaransa mwenzake, Zinedine Zidane.Pamoja na kuwa katika presha kubwa ya timu yake kutocheza vizuri, Solskjaer alipoulizwa juu ya hilo alisema:“Paul ni mchezaji wetu, ataendelea kuwepo hapa kwetu kwa miaka mingine miwili ijayo.

 

“Tunataka kuona ubora wa Paul, naamini kwa miaka michache ijayo tutashuhudia ubora wake,” alisema Solskjaer na kuongeza:“Tukiwa moja ya klabu kubwa tuna wajibu wa kulinda wachezaji wetu.”Pogba ametoa kauli hiyo katika mazingira ambayo klabu hiyo haijampa mkataba mpya huku ule wa sasa ukielekea ukingoni na hakuna mazungumzo yoyote ambayo yamefanyika kuhusu mkataba mpya.

The post Ole Amgomea Pogba Kwenda Real Madrid appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz