-->

Type something and hit enter

On
 Msanii wa HipHop kutoka Nchini Marekani @diddy amezindua chama kipya cha siasa cha watu weusi Alichokipa jina la 'Our Black Party' ambacho kitakuwa kwa ajili ya kuendeleza ajenda inayozingatia mahitaji ya jamii ya watu weusi.


Ameandika @diddy Kupitia Ukurasa Wake Wa Twitter “Kwa hivyo, Nazindua Moja Ya Mambo Ya Ujasiri Zaidi Ambayo Nimewahi Kuzindua. Ninazindua Chama Cha Siasa Cha Watu Weusi Na Vijana Wengine Waliochaguliwa Kuwa Viongozi Weusi Na Wanaharakati. Kinaitwa @ourblackparty Haijalishi Kama Wewe Ni Republican Au Democrat”Click to comment
 
Blog Meets Brand