-->

Type something and hit enter

By OnKOCHA wa Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa aliwatuma mabeki wake, Serge Aurier na Sergio Reguilon kuhakikisha wanadili na Marcus Rashford na Mason Greenwood, ndiyo maana wakafanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-1.

Wikiendi iliyopita, Spurs ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Old Trafford, iliibuka na ushindi huo wa mabao 6-1 dhidi ya Man United.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Mourinho alisema, aliwaelekeza mabeki wake hao nini cha kufanya huku akiwa amewalenga Rashford na Greenwood alioamini ndiyo hatari ndani ya Man United.

“Niliwaambia wachezaji wangu zaidi ya mara 1000 kuwa wanatakiwa kushinda pale Old Trafford. Na niliwapa maelekezo mabeki wangu nini cha kufanya na wadili na nani.

“Aurier na Reguilon wakishirikiana na wenzao niliwaeleza wadili zaidi na Rashford na Greenwood na hilo walifanikiwa.”

The post Mourinho Awataja Walioimaliza Man United appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand