Mobetto: Diamond Alitaka Tupime DNA kwa Mtoto ‘Majibu Haya Hapa’ - EDUSPORTSTZ

Latest

Mobetto: Diamond Alitaka Tupime DNA kwa Mtoto ‘Majibu Haya Hapa’MSANII wa muziki na Uigizaji hamisa mobetto amethibitisha tetesi za mzazi mwenza wake Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto kuchukua vipimo vya DNA na mwanae DYLAN baada ya maneno kuzidi kusambaa juu ya mtoto kuwa ni wa mwanamuziki Charles Njagua ‘Jaguar’.

Mobetto amesema kuwa ni kweli Diamond alifanya hivyo ili kujihakikishia na majibu yalitoka asilimia 100% mtoto huyo ni wakwake.

“Tulienda hospitali na tukachukuliwa vipimo vinne vinne, wakasema tusubirie wiki mbili au tatu na majibu yakatoka mtoto kwa asilimia zote 100% ni wakwake,” amesema Mobetto.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz