MCHEZO WA AZAM FC V MWADUI WAPELEKWA MBELE - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MCHEZO WA AZAM FC V MWADUI WAPELEKWA MBELE


 MCHEZO uliopangwa kuchezwa Oktoba 9 kati ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2020/21, Azam FC dhidi ya Mwadui FC umesogezwa mbele mpaka Oktoba 15.

Ofisa Habari wa Azam FC Zakaria Thabit, amesema kuwa wamepokea taarifa hizo za kusogezwa mbele mechi hizo ila walikuwa na uwezo wa kucheza bila tatizo.


Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Thabit amesema:-"Ndugu zangu, mechi yetu na Mwadui FC iliyopaswa kuchezwa Oktoba 9 imesogezwa mbele mpaka Oktoba 15.

"Lakini hata hivyo, hata kama isingesogezwa, tungecheza tu. Kumbuka sisi ni Azam FC, siyo Simba wala Yanga."


Mchezo wa Yanga na Simba ambao ulikuwa unatarajiwa kuchezwa Oktoba 18, umepelekwa mbele mpaka Novemba 7, leo Oktoba 7 na Bodi ya Ligi Tanzania. Azam FC ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 15 na imecheza mechi 5, haijapoteza mchezo mpaka sasa.

 Mwadui ikiwa imetoka kushinda bao 1-0 dhidi ya Namungo FC itakutana na Azam FC iliyotoka kushinda mabao 4-2 dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Azam Complex.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz