-->

Type something and hit enter

OnTAARIFA kutoka Bodi ya Ligi Tanzania Jana Oktoba 2 kuhusu matukio mbalimbali ambayo yamefanyiwa maamuzi baada ya Kamati ya Kusimamia Ligi Kuu Bara kupitia matukio mbalimbali.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Miongoni mwa waliopewa adhabu ni pamoja na mashabiki wa Klabu ya Yanga ambao waliwapiga mashabiki wa Simba na kuwachania jezi,kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.


Adhabu waliyopewa ni pamoja na faini na kufungiwa kutoingia uwanjani kwa muda wa miezi 12 
 

Click to comment
 
Blog Meets Brand