-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson akikatiza mbele ya marefa kwa hasira baada ya waamuzi hao kukataa bao lake la dakika ya mwisho wakidai Sadio Mane alikuwa ameotea timu hiyo ikilazimishwa sare ya 2-2 na wenyeji, Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Goodison Park. Mabao ya Everton yamefungwa na Michael Keane dakika ya 19 na Dominic Calvert-Lewin dakika ya 81, wakati ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mane dakika ya tatu na Mohamed Salah dakika ya 72
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA


Click to comment
 
Blog Meets Brand