MAN UNITED WATOKA NYUMA NA KUICHAPA NEWCASTLE 4-1 ST JAMES' PARK -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAN UNITED WATOKA NYUMA NA KUICHAPA NEWCASTLE 4-1 ST JAMES' PARK -Michezoni leo


Aaron Wan-Bissaka akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 90 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa St. James' Park. 

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Mabao mengine ya Manchester United yalifungwa na Harry Maguire dakika ya 23, Bruno Fernandes dakika ya 86 na Marcus Rashford dakika ya 90 na ushei wakati la Newcastle United alijifunga Luke Shaw dakika ya pili tu 

 

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz