-->

Type something and hit enter

On
Video mpya ya @officialzuchu imekuwa na mabadiliko makubwa ambayo hapo awali hayakuwepo kwenye video za wasanii waliopo chini ya lebo hiyo


Kwanza kabisa Zuchu kwa sasa ana Logo yake ambayo imeanza kutumika kwenye video ya wimbo huu mpya Nobody. Logo hiyo inaonekana mnamo sekunde ya 13 ya video hiyo. Zuchu amekuwa msanii wa kwanza kutoka WCB kuanza kutumia Logo binafsi kwenye video


Kwenye Video hii mpya ya Zuchu hakuna Logo ya WCB kama ambavyo imezoeleka kwenye video zote za wasanii wanaotoka kwenye lebo hiyo. Imezoeleka kuonekana kwa logo ya lebo hiyo kwenye kila mwisho wa video za wasanii waliopo chini ya lebo hiyo lakini imekuwa tofauti na video hii mpya ya Zuchu ft Joeboy


Nikukumbushe tu @officialzuchu mpaka sasa amefanikiwa kuingiza Trending video 3 YouTube kwa pamoja ambapo CHECHE ipo namba 47, LITAWACHOMA namba 3 na NO BODY namba 1


UNAIZUNGUMZIAJE SPEED HII YA ZUCHU NA MABADILIKO YANAYOFANYWA NA LEBO HIYO KWA MSANII HUYU MPYA?Click to comment
 
Blog Meets Brand