-->

Type something and hit enter

On 


Vichwa vya habari  vikubwa Kutoka Kwa Star wa Muziki kutoka Tanzania na barani Afrika kwa ujumla  @diamondplatnumz , baada ya kufanyiwa mahojiano maalumu na waandaaji wa Tuzo kubwa duniani za Muziki GRAMMYs (@recordingacademy )


Kupitia Website yao Pamoja na Kurasa zao za Mitandao ya Kijamii , Grammy wamemuelezea @diamondplatnumz kama mwanamuziki aliyeweza kubadilisha taswira ya Muziki wa Afrika Mashariki Pamoja na kufikia viwango ambavyo ni ndoto ya kila mwanamuziki kufika .


Grammys Pia wamesifu jitahada za Diamond , kuweza Kuongezea Radha za Kiingereza na Kiswahili katika Muziki wa “BongoFleva” kitu kilichofanya aweze kuvuka mipaka na kufanya kazi na Wasanii wakubwa duniani kama vile @omarion , @richforever , @neyo na @aliciakeys .


Tuzo za Grammys ndio Tuzo kubwa zaidi za Muziki Duniani na ndoto ya kila mwanamuziki ! Hivyo kitendo cha waandaaji wa Tuzo hizi kumzunguzia na kumpa heshima @diamondplatnumz , ni ishara nzuri kwa Muziki wa Afrika Mashariki .
Je, unadhani Diamond ataweza kuandika Historia na kuleta Tuzo ya Grammy Tanzania ?Click to comment
 
Blog Meets Brand