-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Hispania Kupimana Nguvu na Ureno!

Katika mchezo wa kirafiki, Hispania watawakaribisha Ureno ukiwa ni mchezo wa kupimana nguvu kuelekea Muendelezo wa UEFA Nations League.

 

Nani atamzidi mwenzake nguvu. Ni Mhispania au Mreno?

Kwa ujumla, katika michezo 36 waliyowahi kukutana – Mreno amefungwa mara 17, Mhispania amepigwa mara 6 na wametoka sare mara 13.

Kati ya michezo hiyo 36, michezo 27 ilikuwa ya kirafiki ambapo – Ureno ameshinda mara 6, Hispaniaameshinda mara 12 na wametoka sare mara 9.

 

Katika muendelezo wa UEFA Nations League, Ureno watakuwa kibaruani kutetea ubingwa wao na watakutana na Ufaransa baada ya mchezo huu. Wakati ambapo Hispania atachuana na Switzerland.

 

Kwa upande wa Odds za mechi hii ni za uhakika na zinavutia. Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.

 

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakufanya kuwa mshindi!

 

Jisajili na meridianbet hapa. na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako.

 

Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.

Meridian – Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

The post Kuelekea Muendelezo wa UEFA Nations League appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand