Kikosi cha simba chawasili salama Dodoma - EDUSPORTSTZ

Latest

Kikosi cha simba chawasili salama DodomaKIKOSI cha Simba leo kimewasili salama mkoani Dodoma baada ya kuanza safari leo mapema kwa basi kikitokea Morogoro ambapo kiliweka kambi jana, Oktoba 2.

Simba ina kazi ya kumenyana na JKT Tanzania kesho, Oktoba 4 mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni raundi ya tano.

Inakutana na JKT Tanzania ambayo imetoka kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 mbele ya Coastal Union mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ambao wanaamini kwamba utakuwa na ushindani mkubwa.

Simba yenyewe imetoka kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Gwambina FC mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. 

Kwenye mchezo wa kesho atakosekana Gerson Fraga ambaye anasumbuliwa na majeraha aliyopata kwenye mchezo wake dhidi ya Biashara United uliochezwa Uwanja wa Mkapa.

Mchezo huo alitumia Fraga alimpisha nyota mzawa Said Ndemla ambaye kwa sasa ameitwa pia kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz