Kigogo Burundi: Kaze, Ntibazonkiza Wataipa Ubingwa Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Kigogo Burundi: Kaze, Ntibazonkiza Wataipa Ubingwa Yanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

MKUU wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano kutoka Shirikisho la Soka la Burundi (FFB), Ramadhan Kabugi, amefunguka kuwa kitendo cha Yanga kumsajili Said Ntibazonkiza pamoja na kumpa ajira mwalimu Cedric Kaze, kitaisaidia timu hiyo kutwaa kombe la ligi msimu huu.huu na kuweka rekodi ya kipekee kwenye Ligi Daraja la Kwanza (FDL).

 

Mwaikimba tayari ameshafungua akaunti yake ya mabao, baada ya kuipa pointi tatu Boma FC mbele ya Gipco FC katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu wa Sokoine jijini STRAIKA wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa Stars, anayekipiga katika timu ya Boma FC kutoka Kyela Mbeya inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza, Gaudence Mwaikimba amefunguka kuwa anataka kufunga mabao mengi msimu Mbeya, Boma wakishinda kwa bao 1-0.

Mwaikimba amesema anachohitaji kwa sasa ni Mungu kumuepusha na majeraha, kwani anataka kufanya jambo la kipekee ambalo litaacha historia kwenye ligi hiyo kwa kuwa uwezo wake wa kucheza na kuzifumania nyavu bado upo juu licha ya watu kuhisi amechoka na hana madhara tena akiwa uwanjani.

 

“Ligi Daraja la Kwanza ni ngumu tofauti na watu wanavyofikiria, ila tutafanya vizuri siku zote. Kwa upande wangu naomba Mungu aniepushe na majeraha kwa sababu lengo ni kutaka kuweka rekodi ya mabao na kuisaidia timu yangu kupanda daraja,” alisema Mwaikimba.

 

Mwaikimba atamba kuweka rekodi ya mabao FDLIssa Liponda,Dar es SalaamTuwe wazalendo, tuache siasa kwenye sokaKabugi alisema Ntibazonkiza ni mchezaji mkongwe na mzoefu kwenye soka la ushindani kwa kuwa ameshacheza kwenye ligi kubwa za Ulaya, lakini mbali na hivyo ni mtu mpambanaji anayekuja kutibu tatizo la uhaba wa mabao ndani ya Yanga.

 

Huku akiongeza kuwa Kaze ni kocha ambaye ubora wake ni wa juu na utaipa mafanikio Yanga, kitu kizuri zaidi anakwenda kuungana na Ntibazonkiza ambaye alishawahi kufanya naye miaka ya nyuma.

 

Akizungumza na Championi Ijumaa, Kabugi amesema: “Yanga wamefanya usajili mzuri sana, kwa sababu Ntibazonkiza ni mchezaji mwenye kiwango, lakini mbali na hivyo ni mpambanaji akiwa uwanjani, unaweza ukaona alivyocheza dhidi ya Tanzania, pale alikuwa amekaa miezi minne bila kucheza mechi ya ushindani.

 

“Sasa akikaa na Yanga akafanya mazoezi na kuelewana na wenzake vizuri, bila shaka anakwenda kuwapa ubingwa Yanga ambao wameukosa kwa miaka mitatu sasa,” alisema Kabugi na kuongeza:“Kuhusu ujio wa Kaze ni faida nyingine kwa Yanga kwani ni kocha mzuri na akiungana na Ntibazonkiza, timu hiyo itafanikiwa sana,” alisema Kabugi.

Stori: Issa Liponda, Dar es Salaam

The post Kigogo Burundi: Kaze, Ntibazonkiza Wataipa Ubingwa Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.