KICHAPO CHA MABAO 6-1 CHAMKASIRISHA KOCHA MANCHESTER UNITED - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KICHAPO CHA MABAO 6-1 CHAMKASIRISHA KOCHA MANCHESTER UNITED


 KOCHA Mkuu wa Manchester United, Ole Gunner Solskjaer amesema kuwa kichapo cha mabao 6-1 alichopokea kutoka kwa Tottenham Hotspur ni cha udhalilishaji na kimemkasirisha.

Usiku wa kuamkia leo, Manchester United ikiwa Uwanja wa Old Trafford ilishuhuhudia ikiyeyusha pointi tatu jumlajumla mbele ya kikosi cha Jose Mourinho ambaye aliwahi kuifundisha pia timu hiyo.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Nyota wao Bruno Fernandes alipachika bao la mapema dakika ya pili kwa mkwaju wa penalti lilisawazishwa na Tanguy Ndombele dakika ya 4 na mvua ya mabao iliendelea dakika ya 7 na 37 kupitia kwa Song Heung-min na Harry Kane ambaye pia alitupia mawili dakika ya 30 nahuku lile alilopachika dakika ya  79 lilikuwa ni kwa penalti, Serge Aurier alipachika moja dakika ya 51.

United ilimaliza mchezo ikiwa pungufu baada ya Anthony Martial kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 28 jambo lililoongeza ugumu kwa Manchester United kupenya ngome ya Spurs.

Solskjaer amesema:-"Ni matokeo mabaya sana kwa timu na nimeumia sana kuona tumepoteza,kwa maana nyingine ninasema hii ni siku mbaya kwangu nikiwa ni Kocha wa Manchester United pamoja na wachezaji pia."

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz