KATAVI: Kijana Ajiua baada ya Mama yake kukataa kuhamia CHADEMA - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KATAVI: Kijana Ajiua baada ya Mama yake kukataa kuhamia CHADEMAKijana anayefahamika kwa jina la Twaybu Omary, 22, mkazi wa Mtaa wa Nsemulwa Kata ya Nsemulwa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amekutwa bafuni akiwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia waya mweusi, huku chanzo kikidaiwa ni baada ya mama yake kukataa kuwa mfuasi wa CHADEMA

Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Mkoani Katavi Abdi Isango amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema siku moja kabla ya kifo cha kijana huyo kulitokea tofauti ya majibizano ya kisiasa, ambapo marehemu alikuwa ni mfuasi wa CHADEMA na alikuwa akimshawishi mama yake kuhamia chama hicho ndipo mama yake ambaye ni mfuasi wa CCM akakasirika na kumpiga kofi mwanaye.


Akimzungumzia mtoto wake huyo aliyejiua, Mama mzazi wa marehemu Mariam Shamsha, amesema mtoto wake alikuwa anapenda kusoma lakini alishindwa kumtimizia ndoto zake kutokana na kipato chake kuwa kidogo.


“Mwanangu aliniambia nijiunge na CHADEMA, mimi nikakataa nikasema siwezi kujiunga, nikamuambia mimi nina uzalendo na nchi yangu”, amesimulia Mama wa marehemu.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz