-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
Mshambuliaji wa Fenerbahce ya Uturuki na Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwaongoza wachezaji wenzake mazoezini Uwanja wa Benjamin Mkapa leo asubuhi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi Jumapili
Beki wa Yanga SC, Bakari Nondo Mwamnyeto akiwa mazoezini Taifa Stars kujiandaa kuwakamili Int'hamba Murugamba

Kipa wa Yanga SC, Netacha Mnata (kulia) akiwa mazoezini Taifa Stars leo asubuhi Uwanja wa Benjamin Mkapa


Click to comment
 
Blog Meets Brand