-->

Type something and hit enter

OnIrene Uwoya: Ni Kweli Naogea Maziwa ya Ng’ombe!

 IJUMAA WIKIENDA: Kumekuwa na gumzo kubwa juu ya kauli yako kuwa, huwa unatumia maziwa ya ng’ombe kuogea, je, ni kweli na bado unafanya hivyo?

Uwoya: Ni kweli nafanya hivyo, naogea maziwa na ndiyo maana sura yangu kila ninayeonana naye ananisifia. Mimi sipaki chochote, kikubwa zaidi ni hayo maziwa.Click to comment
 
Blog Meets Brand