-->

Type something and hit enter

By OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Kenya Gor Mahia wameachana na kocha Steven Polack. Gor Mahia wamethibitisha kuwa wameachana na kocha mkuu Steven Polack kwa makubaliano ya pande zote.

 

Polack aliandika barua kwa klabu akielezea kwamba kuporomoka kwa uchumi kumeathiri sana timu na biashara kote ulimwenguni na ndio sababu yake ya kuamua kuondoka.

 

“Klabu na mimi tumefika makubaliano ya pamoja kumaliza mkataba wangu kutokana na mtikisiko wa uchumi na janga la Corona ambalo haliathiri Gor Mahia tu bali pia vilabu vingine na wafanyabiashara kote ulimwenguni,” ilisema barua ya Polack.

The post Gor Mahia Yavunja Mkataba na Kocha Wake appeared first on Global Publishers.Click to comment
 
Blog Meets Brand