-->

Type something and hit enter

author photo
By OnGodrick-Asante Baba(official Audio)
Godrick-Asante Baba(official Audio)

Sikiliza Wimbo Mpya kutoka kwa Godrick msanii anayefanya Vyema kwenye Tasnia ya Nyimbo za injili. Leo hii ametoa wimbo mpya Huitwao Ahsante Baba.Godrick kwa sasa ni msanii bora wa kiume kwa nyimbo za injili nchini, Hivi karibuni ametoa kibao cha utoshelevu wangu kinacho fanya vizuri katika vyombo mbali mbali vya radio na Televison.

 Awali Godrick alitamba kwa wimbo wa NI AMANI aliomshirikisha samweli.
Click to comment
 
Blog Meets Brand