-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

Mason Mount (katikati) akishangilia baada ya kuifungia England bao la pili dakika ya 64 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ubelgiji kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wembley, London. Ubelgiji ilitangulia kwa bao la Romelu Lukaku kwa penalti dakika ya 16 baada ya rafu ya Eric Dier, kabla ya Marcus Rashford kuisawazishia England kwa penalti pia dakika ya 39 kufuatia Thomas Meunier kumchezea rafu Jordan Henderson
 


Click to comment
 
Blog Meets Brand