DYBALA AINGIA ANGA ZA CHELSEA - EDUSPORTSTZ

Latest

DYBALA AINGIA ANGA ZA CHELSEA

 IMERIPOTIWA kuwa Chelsea ipo kwenye mpango wa kuinasa saini ya Paulo Dybala anayekipiga ndani ya kikosi cha Juventus.

Mshambuliaji huyo mwenye miaka 26 raia wa Argentina amekuwa nje ya mpango wa Kocha Mkuu wa Juventus, Andrea Pirlo kwenye kikosi cha kwanza kutokana na kusumbuliwa na majeraha hivi karibuni.  

 Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Kwa mujibu wa Tutto Mercato Web, imeripoti kwamba Frank Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea ametajwa kuhitaji  saini ya nyota huyo ili awe ndani ya kikosi hicho.

Uhitaji wa saini ya Dybala unaongezeka baada ya timu hiyo kukosa saini ya Lautaro Martinez msimu huu jambo ambalo linawafanya wafikirie kumpata mshambuliaji huyo mwenye uwezo mkubwa ndani ya uwanja.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz