-->

Type something and hit enter

On
 Mshambuliaji mpya wa Azam FC anaetokea nchini Zimbabwe Prince Dube, akipokea tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) mwezi Septemba.


Mbali na tuzo hiyo kutoka kwa wadhamini wakuu Vodacom Tanzania pia alikabidhiwa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni Moja.

Click to comment
 
Blog Meets Brand