-->

Type something and hit enter

On 


Rais Donald Trump ameruhusiwa kutoka Hospital baada ya kupatiwa matibabu ya corona kwa siku tatu, kwa sasa atabaki Ikulu kwa muda na hatoruhusiwa kujichanganya na Watu, baada ya kufika Ikulu Trump amevua Mask huku akionesha ishara ya vidole kwamba yuko fit.Click to comment
 
Blog Meets Brand