Clatous Chama Azungumzia Pointi za Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Clatous Chama Azungumzia Pointi za Yanga-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Mzambia, Clatous Chama, ameweka wazi kwamba licha ya kukosa kucheza na Yanga Oktoba 18, mwaka huu lakini anaamini watazipata pointi zao kutokana na kuongezewa muda zaidi wa kujiandaa.

 

Kiungo huyo ameongeza kwamba walikuwa wameshaanza kuitolea macho mechi hiyo ya dabi lakini kwa sasa wanaangalia mechi zijazo baada ya kupelekwa mbele.

 

Simba walipangiwa kucheza na Yanga kwenye Kariakoo Dabi keshokutwa Jumapili lakini mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara imesogezwa mbele hadi Novemba 7.

Kiungo huyo raia wa Zambia amesema kwamba kwa sasa hawana cha kupoteza baada ya kushindwa kucheza na Yanga na wanaangalia mbele katika mechi zao zijazo za ligi.

 

“Simba kila siku iko tayari kwa ajili ya kupambana na timu yoyote ile kwa sababu msimu unaenda mbele.

 

Mechi na Yanga ni mechi kubwa ambayo tulikuwa tunaiangalia lakini nafikiri sababu za kughairisha mechi zilizotolewa ziko vizuri.

 

“Tuna mechi nyingine hapa kati kama ratiba yetu inavyoonyesha na pale ambapo itakuja tutacheza. Nafikiri imetupa muda zaidi wa kujiandaa, hiyo ni mechi kubwa lakini naamini tutafanya vizuri,” alimaliza Chama.

STORI: Said Ally, Dar es Salaam

The post Clatous Chama Azungumzia Pointi za Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz