Burundi Yawasili TZ Kuikabili Taifa Stars-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Burundi Yawasili TZ Kuikabili Taifa Stars-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako na Kuasoma habari zote hata kama hauna MB

Timu ya Taifa ya Burundi tayari imewasili nchini kamili kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda ya FIFA.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 11, Uwanja wa Mkapa na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote mbili kuwa na wachezaji wazuri.

Pia ndani ya timu ya Burundi kuna wachezaji ambao wanacheza Ligi Kuu Bara jambo ambalo linaongeza ushindani kwa kuwa wanatambua soka la Tanzania lilivyo.

The post Burundi Yawasili TZ Kuikabili Taifa Stars appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz