“Bodyguard Siku Hizi ni Wengi Kuliko Wasanii“ - Christian Bella - EDUSPORTSTZ

Latest

“Bodyguard Siku Hizi ni Wengi Kuliko Wasanii“ - Christian Bella

 Msanii Christian Bella amewachana wasanii wanaotembea na ulinzi 'bodyguards' kwa sababu anaona wamekuwa wengi kuhusu kuliko wasanii wenyewe pale wanapokutana kwenye sehemu za show au kwenye shughuli zingine za kisanii.

Akizungumzia hilo kwenye show ya eNewz ya East Africa TV, Christian Bella amesema mtu hawezi kuwa na Bodyguard watano au sita wakati  nyumbani kwake anapoishi anadaiwa kodi, kitendo hicho ni kukosa fikra katika tasnia ya sanaa ya muziki.

“Mimi nimewahi kwenda kwenye show nikashangaa 'backstage' kila msanii ana 'bodyguards' na wengine wakakomoa wakaja na walinzi sita, cha kushangaza walinzi walikuwa wengi kuliko wasanii mpaka nikauliza hawa ndiyo wasanii au basi nilijikuta nacheka sana” amesema Christian Bella

“Huwezi kuwa na walinzi wengi huku unadaiwa kodi ingawa siwezi kukasirika nikimuona mtu ana bodyguard wengi ila sio kujibrand ukiwa na walinzi wengi, lifestyle na pesa ndiyo humbeba mtu sio bodyguard kwa mtazamo wangu" ameongezaJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.