-->

Type something and hit enter

On 


BERNARD Morrison nyota wa Simba kwa mwezi Oktoba amekuwa na majanga yake ya kipekee ambapo rekodi zinaonyesha kuwa amekuwa ni mchezaji anayechezewa faulo nyingi na mwanzilishi wa ugomvi pia.


Kwenye mchezo kati ya JKT Tanzania na Simba uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma wakati Simba ikishinda mabao 4-0  alimkunja mchezaji baada ya kuchezewa faulo na Kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons wakati Simba ikikutana na balaa la kichapo cha bao 1-0 alichezewa faulo zaidi ya mbili pia alikutana na mkono wa  Salum Kimenya kiraka wa Tanzania Prisons. 


Wakati Simba ikifungwa bao 1-0 alimpiga ngumi Juma Nyosso na wote wamepewa adhabu,  maamuzi mengine haya hapa:-

Click to comment
 
Blog Meets Brand