BASATA Wazungumza Kuhusu Lady Jaydee - EDUSPORTSTZ

Latest

BASATA Wazungumza Kuhusu Lady Jaydee

Kaimu Afisa Habari na Mawasiliano wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Nago amesema kupitia Mwanasheria wao wamemtumia barua ya kutaka kuonana msanii mkongwe wa BongoFleva Lady Jaydee kuhusu wimbo wake ambapo inasemekana unahamasisha matumizi ya uvutaji bangi.

Kupitia mahojiano aliyofanya na EATV & EA Radio Digital, Kaimu Afisa Habari na Mawasiliano wa BASATA Godfrey Nago amefafanua zaidi kuhusiana na hilo ambapo amesema.

"Kuhusu taarifa hizo naweza kusema nusu zina ukweli na nusu hazina ukweli kwa sababu bado hatujaita mkutano au kuongea na mtu yeyote kwenye hadhara kuhusu suala hilo, kitu ambacho tumefanya ni kumuita yeye kwanza na tayari tumeshampelekea barua kupitia Mwanasheria wetu ambayo anatakiwa aripoti hapa, halafu kuanzia hapo ndiyo tutakuwa na cha kuzungumza naye, huwezi kutoa hukumu kabla hujamzikiliza mtu"Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz