BAKWATA: Viongozi wa dini wasifanye kampeni kwenye nyumba za Ibada - EDUSPORTSTZ

Latest

BAKWATA: Viongozi wa dini wasifanye kampeni kwenye nyumba za IbadaBaraza za Ulamaa BAKWATA Taifa chini ya Mwenyekiti, Mufti Sheikh Abubakar Zubeir Mbwana ambaye pia ni Sheikh Mkuu wa Tanzania limetoa maelekezo kutokana na yanayojitokeza katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu

Limewasihi Viongozi wa Dini kubaki kuwa wasuluhishi na wapatanishi wa jamii inayowahusisha wafuasi wa vyama na wasio na vyama

Pia limewataka Viongozi wote wa Baraza kutofanya Kampeni, hasa katika nyumba za ibada, na wanaoenda kinyume na mafundisho ya Uislamu na maadili ya BAKWATA watachukuliwa hatua za kinidhamu

Aidha, limewataka Waislamu kuiombea nchi ili Uchaguzi Mkuu upite salama na kwa amaniJe wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz