AZAM FC WALITAKA KOMBE LA SIMBA MAPEMA - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC WALITAKA KOMBE LA SIMBA MAPEMA


 AZAM FC imesema kuwa malengo makubwa kwa msimu huu ni kushinda kila mechi ili kupata pointi tatu muhimu zitakazowapa nafasi ya kutwaa taji la Ligi Kuu Bara mapema.

 

Azam FC inaongoza msimamo wa ligi baada ya kucheza mechi nne, huku ikishinda michezo yote na kukusanya pointi 12, ambapo Simba inayoifuata ikiwa na pointi 10 na Yanga ina pointi 10 pia zikiwa zimetofautiana katika idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa.


Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB


Kwa sasa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara ni Simba ambao walitwaa taji hilo msimu uliopita nao wanapambana kuweza kulitwaa tena sambamaba na Yanga ambao nao wameweka wazi malengo yao ni kusepa na taji hilo.

 

Ofisa Habari wa Azam FC, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’ amesema kuwa, Azam imejipanga kuhakikisha inafanikiwa kushinda michezo yao yote ili kuendelea kubaki namba moja.


"Azam msimu huu tumejipanga kuhakikisha tunachukua kombe, tumeshajua mapungufu ambayo yalikuwa yakijitokeza katika baadhi ya mechi zetu hasa zile za mikoani ambapo wachezaji wamekuwa wakifanya mazoezi katika viwanja viwili tofauti cha nyasi bandia na cha vumbi.

 

“Tumejipanga kuhakikisha tunafanikiwa kuibuka na pointi tatu muhimu katika kila mechi tutakayocheza na ikitokea iwapo tumepoteza ni kwa bahati mbaya, lakini tunahitaji ushindi mnono, mwalimu anatumia muda wake vyema kukipanga kikosi chake,” amesema Zaka Zakazi. 


Kwa sasa kikois kinajipanga kwa ajili ya mchezo wa raundi ya tano dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex majira ya saa 1:00.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz