Zuchu: Thamani yangu ilipanda baada ya kukutana na Rais Magufuli, Nililia sana akanitunza hela | EDUSPORTSTZ -->

Type something and hit enter

OnPakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

 


Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka Lebo ya @wcb_wasafi iliyopo chini ya @diamondplatnumz @officialzuchu ameeleza furaha yake ya kukutana na Rais Magufuli na kueleza kuwa Rais Magufuli amemfanya thamani yake ipande.

 

Ameongeza kuwa baada ya kuomba kupiga nae picha hakuamini hadi pale alipompa mkono na yeye alikuwa analia tu Rais akamwambia usile njoo tupige picha na baada ya hapo alimpa pesa.


Mbali na hilo @officialzuchu ameeleza alivyopata wazo la kutunga wimbo wa TANZANIA YA SASA ambao unapongeza juhudi za Rais Magufuli.Pakua App MPYA ya 'EDUSPORTSTZ NEWS-(Lite Version)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

Click to comment
 
Blog Meets Brand