-->

Type something and hit enter

On
 KIKOSI cha Yanga kwa sasa kipo Bukoba ambapo kiliwasili jana Septemba 17 na kuanza kufanya mazoezi kwa ajlili ya kujiwinda na Kagera Sugar.


Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa Uwanja wa Kaitaba, Septemba 19 majira ya saa 10:00 jioni.

Kwenye mchezo huo nyota watano wa Yanga wanatarajiwa kuukosa mchezo huo kwa kuwa wameachwa Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na :-Wazir Junior, Paul Godfrey,Juma Mahadhi,Abdallah Shaibu na Farouk Shikalo ambaye inaelezwa ni majeruhi.


Click to comment
 
Blog Meets Brand