-->

Type something and hit enter

OnKanye West ameitupa chooni tuzo ya Grammy na kuikojolea, tuzo ambayo ni ndoto ya kila msanii duniani kuja angalau kuishika tu kwa mikono yake. Kanye anafanya hivi ikiwa ni muendelezo wake wa kutilia mkazo madai yake ya uonevu na utumwa wanaofanyiwa wasanii kwenye label za muziki na makampuni.

Wiki hii Kanye amekuwa akipazia sauti suala hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter na kuzitupia lawana label za Sony na Universal, Ye amefikia hatua ya kutaka kununua haki zote za kazi zake yaani Master Recordings toka kwenye label hizo.

Kanye ni mshindi mara 21 wa tuzo za Grammy, akiwa miongoni mwa wasanii walioshinda mara nyingi zaidi. VIDEO:


Click to comment
 
Blog Meets Brand