-->

Type something and hit enter

On
TIMU ya Tottenham Hotspur imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 1-1 usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London.

Pakua App ya 'EDUSPOTSTZ (LITE VERSION)' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako Utasoma habari zote hata kama hauna MB

 Timo Werner alianza kuifungia Chelsea dakika ya 19, kabla ya Erik Lamela kuisawazishia Tottenham dakika ya 83 na Mason Mount akakosa penalti muhimu na kuipeleka Spurs Robo Fainali ya Carabao Cup 

Click to comment
 
Blog Meets Brand