-->

Type something and hit enter

OnPakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

MABINGWA watetezi, Paris Saint-Germain jana wamepata ushindi wa kwanza katika Ligue 1 baada ya kuichapa FC Metz 1-0, bao pekee la kiungo Mjerumani, Julian Draxler dakika ya 90 na ushei Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris.

PSG ilimaliza pungufu baada ya Abdou Diallo kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 65. Ikumbukwe,  mechi mbili za mwanzo PSG walifungwa 1-0 mara mbili na Lens na Marseille.

Winga Mjerumani, Julian Draxler akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain jbao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya FC Metz jana 

Click to comment
 
Blog Meets Brand